Tuesday, November 14, 2023

 


 

Habari Fm redio itaanza kurusha rasmi matukio yake kupitia blog hii.

Kaa mkao wa kula!  tutakuhabarisha,kukuelimisha na kukupa taaluma mbali mbali.

Ahsanteni

Saturday, November 30, 2019

MIMI NA WEWE NA YULE KWA PAMOJA TUNAWEZA

HABARI FM KATIKA KUTEKELEZA KAMPENI YA ZANZIBAR SAFI JANA TUMEJUMUIKA NA WAZEE WETU HUKO WELEZO KATIKA KUTEKELEZA KAMPENI YA ZANZIBAR SAFI TUKUTANE TENA TAREHE 14/12/2019 PALE SEBLENI KWA WAZEE (MIMI NA WEWE NA YULE KWA PAMOJA TUNAWEZA)